Matukio : Bi. Theresia Mmbando afungua Mafunzo ya awamu ya tatu ya kampeni ' TUNAWEZA' Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.

Post Top Ad

8 Nov 2016

Matukio : Bi. Theresia Mmbando afungua Mafunzo ya awamu ya tatu ya kampeni ' TUNAWEZA' Jijini Dar

Katibu Tawala wa Mko wa Dar es Salaam, Theresia Mbando, akizungumza wakati akifungua rasmi Mafunzo ya Kampeni ya awamu ya tatu ya 'TUNAWEZA' lenye lengo la kuondoa aina zote za Ukatili wa kijinsia dhidi ya Wanawake, yaliyofanyika leo Nov 8, 2016 kwenye Hoteli ya Jamirex iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam,leo.  Kushoto ni Mratibu wa Mafunzo hayo, Rehema Msami, kutoka Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC).
 Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakiwa bize kunakili kile anachokiwasilisha Katibu Tawala wakati wa ufunguzi huo.

 Baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo wakiwa katika mafunzo hayo.
 Katibu Tawala wa Mko wa Dar es Salaam, Theresia Mbando, akizungumza wakati akifungua rasmi Mafunzo ya Kampeni ya awamu ya tatu ya 'TUNAWEZA' lenye lengo la kuondoa aina zote za Ukatili wa kijinsia dhidi ya Wanawake, yaliyofanyika leo Nov 8, 2016 kwenye Hoteli ya Jamirex iliyopo Mwenge jijini Dar es Salaam,leo.  Kushoto ni Mratibu wa Mafunzo hayo, Rehema Msami, kutoka Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake (WLAC).
 Mratibu wa Mafunzo hayo, kutoka Kituo cha Msaada wa sheria kwa Wanawake (WLAC) Rehema Msami, akifafanua jambo kuhusu mafunzo hayo wakati wa ufunguzi huo.
 Mwanasheria wa Kituo cha Msaada wa Sheria kwa Wanawake, Karilo Karilo, akizungumza kabla ya mgeni rasmi kufungua mafunzo hayo.

Sehemu ya washiriki wa mafunzo hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad