Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva (kulia) akiungana
kuimba wimbo wa Taifa na Mgeni Rasmi wa Maadhimisho ya Kumbukumbu ya
Miaka 50 ya Kuanzishwa kwa Tume ya Kudumu ya Uchunguzi (TKU) Mhe. Waziri
wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.
Angellah Kairuki (kushoto) na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na
Utawala Bora, Bahame Nyanduga, kwenye ufunguzi wa maadhimisho hayo
liliyofanyika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva (kulia) akieleza
uzoefu wake kuhusu shughuli za Tume ya Kudumu ya Uchunguzi (TKU) kwenye
kongamano hilo.
Baadhi
ya viongozi wa Serikali waliohudhuria Maadhimisho ya Kumbukumbu ya
Miaka 50 ya Kuanzishwa kwa Tume ya Kudumu ya Uchunguzi (TKU) kwenye
ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam wakiongozwa na Rais Mstafu wa
Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi (wa pili kulia) wakifuatalia
taarifa ya Jaji Mst. Lubuva.Wengine ni Mawaziri Wakuu Wastaafu Fredrick
Sumaye (kulia), Jaji Mstaafu Joseph Warioba (wa tatu), na Mwanasheria
Mkuu Mstaafu Jaji Mack Bomani na Mwenyekiti Mstaafu wa Tume ya Haki za
Binadamu na Utawala Bora Jaji Kiongozi Mstaafu Amiri Manento.
Baadhi
ya Wageni Waalikwa wakiwemo kutoa Ubalozi wa Sweden nchini Tanzania na
Wawakilishi wa Tume ya Kudumu ya Uchunguzi za nchi za Afrika,
wakifuatilia taarifa ya Jaji Mst. Lubuva.
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaj Ali
Hassan Mwinyi akiwa akipokea tuzo ya Heshima ya Utawala Bora kutoka kwa
Mgeni Rasmi wa Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Kuanzishwa kwa
Tume ya Kudumu ya Uchunguzi (TKU) Mhe. Waziri wa Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah Kairuki
kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva (katikati) akiwa
amepokea Cheti cha Utambuzi wa Utumishi wake kwenye Tume ya Kudumu ya
Uchunguzi (TKU) kutambua mchango wake.Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume ya
Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Bahame Tom Nyanduga na kulia
ni Katibu Mtendaji wa Tume hiyo Mary Massay.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva (wa tatu kulia)
akiungana na kwenye picha ya pamoja na na Mgeni Rasmi wa Maadhimisho ya
Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Kuanzishwa kwa Tume ya Kudumu ya Uchunguzi
(TKU) Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj
Ali Hassan Mwinyi na Viongozi wengine wa Serikali Wastaafu waliohudhuria
maadhimisho hayo kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam..
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva, akisalimiana na
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Alhaj Ali Hassan Mwinyi.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva akimueleza jambo
Mgeni Rasmi wa Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Kuanzishwa kwa
Tume ya Kudumu ya Uchunguzi (TKU) Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti
ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki baada ya
ufunguzi wa maadhimisho hayo.
1.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva,
akibadilisha mawazo na Wanasheria Wakuu wa Serikali Wastaafu wenzake
Jaji Mst. Mark Bomani 1965-1976 na Jaji Mst. Joseph Sinde Warioba 1976
-1985.Jaji Mst. Warioba alitumikia nafasi hiyo kuanzia mwaka 1985 hadi
1993.
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mst. Damian Lubuva akizungumza na
kituo cha Televisheni cha ITV baada ya ufunguzi wa Maadhimisho ya
Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Kuanzishwa kwa Tume ya Kudumu ya Uchunguzi
(TKU).Picha na Hussein Makame-NEC
No comments:
Post a Comment