Kutoka VOA SWAHILI: Zulia Jekundu S1 Ep 95: Kim Kardashian, Barack & Michelle Obama, Selena Gomez, Rihanna - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Monday, 10 October 2016

Kutoka VOA SWAHILI: Zulia Jekundu S1 Ep 95: Kim Kardashian, Barack & Michelle Obama, Selena Gomez, Rihanna


Mkamiti Kibayasi wa Idhaa ya Kimataifa ya Sauti ya America (VOA) kutoka Washington DC.
 Zulia Jekundu ni kipindi cha televisheni cha kila wiki ambacho hukuletea habari mbalimbali za burudani zinazotamba. Humu utapata kujua juu ya habari za mastaa zinazogonga vichwa vya habari, kujua baadhi ya wanaosherehekea siku zao za kuzaliwa wiki husika na hata filamu 5 zilizoongoza kwa mauzo katika wiki hiyo.
KARIBU

No comments:

Post a Comment