Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na
Mawasiliano,Proffesa Makame Mbarawa akizundua gati jipya la Bandari ya
Pangani ambalo liligharimu zaidi ya bilioni 3 kulia ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano wa mwisho kulia ni Kaimu
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari nchini (TPA)Karim Mattaka kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella
Kulia ni Waziri wa
Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Proffessa Makame Mbarawa akiteta jambo na
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA)Karim Mattaka
wapili kutoka kulia wakati wa uzinduzi wa gati jipya wilayani Pangani
katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella kulia ni Kaimu Meneja
wa Bandari ya Tanga,Henry Arika akifuatilia mazungumzo
hayoViongozi waliokaa meza mkuu wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea wakati wa uzinduzi wa Gati Jipya wilayani Pangani |
Viongozi mbalimbali wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani na mkoaani Tanga wakifuatilia uzinduzi wa Gati jipya
Baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Bandari Mkoani Tanga wakifuatiliaa uzinduzi huo kutoka kulia ni PRO wa Mamlaka hiyo,Moni Jarufu kushoto ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga,Daudi Mayeji |
Baadhi ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Pangani wakifuatilia uzinduzi wa Gati hiyo |
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Proffessa Makame Mbarawa akisalimiana na wananchi wilayani Pangani mara baada ya kuzindua gati jipya
Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano,Professa Makame Mbarawa akiwa na viongozi mbalimbali akisoma maelekezo yaliyoandikiwa kwenye jiwe la msingi mara baada ya kufanya kuzindua gati jipya la Bandari wilayani Pangani kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Karim Mattaka kulia ni Kaimu Meneja wa Bandari ya Tanga,Henry Arika,Mkuu wa Mkoa wa Tanga,Martine Shigella na PRO wa Mamlaka ya Bandari ya Tanga,Moni Jarufu.
No comments:
Post a Comment