Ndege
ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali ikitua katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Ndege
ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikaliikitua katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Ndege
ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali ikipata Saluti ya
maji (Water Canon Salutation) mara tu baada ya kutua katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba
27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa
ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo
hapo uwanjani.

ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali ikiegeshwa karibu
na pacha wake iliyofika wiki moja uliopita katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017
ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo
umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo
uwanjani.
Makamanda
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakiwa miongoni mwa wapokeaji wa ndege
hiyo atika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za
uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano
Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho na
viongozi wakisubiri Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na
serikali ilipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada
ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo umepangwa
kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo uwanjani.
Ndege
ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali ilipowasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Ndege
ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali ilipowasili katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho na
viongozi wengine wakielekea kwenye Ndege ya pili ya Bombadier Q400
iliyonunuliwa na serikali ilipowasili katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017
ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege hizo
umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo
uwanjani.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho akisalimiana
na nahoda John Kuipers aliyeendesha Ndege ya pili ya Bombadier Q400
iliyonunuliwa na serikali na kuiwasilisha salama katika uwanja wa ndege
wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27,
2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa. Sherehe za uzinduzi rasmi wa ndege
hizo umepangwa kuganyika kesho Jumatano Septemba 28, 2016 hapo hapo
uwanjani.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho akikagua
Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali mara
ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho akiwa
na Afisa Mtendaji Mkuu wa ATCL Mhandisi Ladislaus Matindi (kushoto
kwake) pamoja na maafisa wengine wakiwa katika Ndege ya pili ya
Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege
la Taifa (ATCL) mara ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa
Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea
Canada ilikotengenezwa.
Nahoda
John Kuipers na Nahodha Owen Davies walioendesha Ndege ya pili ya
Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali wakifurahia mara baada ya kutua
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es
salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho na
Afisa Mtendaji Mkuu wa ATCL Mhandisi Ladislaus Matindi wakitelemka
baada ya kuikagua Ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na
serikali mara ilipotua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius
Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017 ikitokea Canada
ilikotengenezwa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho akimpa
pongezi nahoda wa John Kuipers aliyeendesha aliyeendesha Ndege ya
pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali mara ilipotua katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Uchukuzi) Dkt. Leornard Chamuriho akimpa
pongezi nahoda wa John Kuipers aliyeendesha aliyeendesha Ndege ya
pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na serikali mara ilipotua katika
uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Nahoda
John Kuipers (kulia) na Nahodha Owen Davies (kati) pamoja na mhandisi
wao Pavel Melichar walioendesha Ndege ya pili ya Bombadier Q400
iliyonunuliwa na serikali wakifurahia mara baada ya kutua katika uwanja
wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 27, 2017 ikitokea Canada ilikotengenezwa.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa ATCL Mhandisi Ladislaus Matindi akiongea mara baada
ya kuwasili kwa ndege ya pili ya Bombadier Q400 iliyonunuliwa na
serikali wakifurahia mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 27, 2017
ikitokea Canada ilikotengenezwa.
No comments:
Post a Comment