Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akipokea mchango wa shilingi milioni 10 kutoka kwa
Mstahiki Meya wa Dar es salaam Mhe. Isaya Mwita ukiwa ni mchango wa
waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.Makabidhiano hayo
yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 29,
2016. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na UwekezajiCharles Mwijage.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akipokea mchango wa shilingi milioni tano kutoka
kwa Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Shyrose Bhanji ukiwa ni
mchango kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.Makabidhiano
hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba
29, 2016. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na UwekezajiCharles
Mwijage.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akipokea mchango wa shilingi 18,681,000/= kutoka
kwa Mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina Masenza ukiwa ni mchango wa waathirika
wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yalifanyika
Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 29, 2016. Kulia ni
Waziri wa Viwanda, Biashara na UwekezajiCharles Mwijage.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea moja kati ya mabati 500 yenye thamani ya
shilingi milioni 10 kutoka kwa Eric Shigongo Mkurugenzi Mtendaji wa
Global Publishers (kushoto) ukiwa ni mchango wa waathirika wa
tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisni
kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 29, 2016. Kulia ni Waziri
wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akipokea mchango wa shilingi milioni 20 kutoka kwa
watendaji wa kampuni ya Trans Ocean Supplies Limited ukiwa ni mchango
wa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.Makabidhiano hayo
yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 29,
2016. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na UwekezajiCharles Mwijage.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akipokea mchango wa shilingi milioni 20 kutoka kwa
mtendaji wa kampuni ya Woolworths Tanzania ukiwa ni mchango wa
waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.Makabidhiano hayo
yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 29,
2016. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na UwekezajiCharles Mwijage.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akipokea mchango wa shilingi milioni 50 kutoka kwa
watendaji wa kampuni ya Pepsi ukiwa ni mchango wa waathirika wa
tetemeko la ardhi mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini
kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 29, 2016. Kulia ni Waziri
wa Viwanda, Biashara na UwekezajiCharles Mwijage.
Msaada wa viti vya walemavu
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya sh. 415,800,000/= kutoka Chama
cha Waagizaji wakubwa wa mafuta nchini (TAUMA ) ukiwa ni mchango wa
waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Makabidhiano hayo
yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea michango mbalimbali
kwa ajili yawaathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera, ofisini
kwake jijini Dar es salaam
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea michango mbalimbali
kwa ajili yawaathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera, ofisini
kwake jijini Dar es salaam
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akipata picha ya kumbukumbu na wachangiaji baada
ya kupokea michango mbalimbali kwa ajili yawaathirika wa tetemeko la
ardhi mkoani Kagera, ofisini kwake jijini Dar es salaam
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akipokea mchango wa shilingi milioni 20 kutoka kwa
watendaji wa kampuni ya Trans Ocean Supplies Limited ukiwa ni mchango
wa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.Makabidhiano hayo
yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 29,
2016. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na UwekezajiCharles Mwijage.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akishukuru baada ya kupokea mchango wa shilingi
18,681,000/= kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Iringa, Amina Masenza ukiwa ni
mchango wa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera.Makabidhiano
hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba
29, 2016. Kulia ni Waziri wa Viwanda, Biashara na UwekezajiCharles
Mwijage.
Waziri
Mkuu,Kassim Majaliwa akipokea mchango wa shilingi milioni 50 kutoka
kwa watendaji wa kampuni ya Pepsi ukiwa ni mchango wa waathirika wa
tetemeko la ardhi mkoani Kagera.Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini
kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Septemba 29, 2016. Kulia ni Waziri
wa Viwanda, Biashara na UwekezajiCharles Mwijage.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni
ya Bia Tanzania, Roberto Jarrin (kushoto), Group Corporate Affairs
Director wa TBL, Georgia Mutagahywa (wapili kulia) na Mkuu wa Kitengo
cha Manunuzi wa TBL, Fabian Mwakatuma baada ya kupokea hundi ya shilingi
milioni 100 ukiwa ni mchango wa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani
Kagera. Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar
es salaam
No comments:
Post a Comment