Watoto
wa Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha Upendo cha Buguruni jijini Dar
es Salaam wakiwa katika hafla ya kukabidhiwa misaada mbalimbali ikiwemo
mafuta ya kupikia, sabuni, unga, mchele na sukari kutoka UTT AMIS.
Ofisa
Mwandamizi Idara ya Masoko na Uhusiano wa UTT AMIS, Martha Mashiku
akizungumza na watoto wanaolelewa katika Kituo cha Watoto Yatima cha
Upendo kilichopo Buguruni jijini Dar es Salaam.
Ofisa
Mwandamizi Idara ya Masoko na Uhusiano wa UTT Amis, Martha Mashiku (wa
pili kulia) akikabidhi sehemu ya msaada wa vitu mabalimbali kwa mmoja wa
watoto wanaoishi katika Kituo cha Kulelea Yatima cha Upendo cha
Buguruni jijini Dar es Salaam, Abdi Mohamed. Kushoto ni Ofisa Masoko wa
UTT AMIS, Waziri Ramadhani na kulia ni Ofisa Masoko UTT AMIS, Pauline
Kasilati.
Ofisa
Mwandamizi Idara ya Masoko na Uhusiano wa UTT Amis, Martha Mashiku (wa
pili kulia) akikabidhi sehemu ya msaada wa vitu mabalimbali kwa mmoja wa
watoto wanaoishi katika Kituo cha Kulelea Yatima cha Upendo cha
Buguruni jijini Dar es Salaam, Nasra Heri. Kushoto ni Ofisa Masoko wa
UTT AMIS, Waziri Ramadhani na kulia ni Ofisa Masoko UTT AMIS, Pauline
Kasilati.
Watoto
wanaoishi katika Kituo cha Kulelea Yatima cha Upendo cha Buguruni
jijini Dar es Salaam wakipokea msaada wa Unga, mafuta ya kupikia,
sabuni, sukari pamoja na mchele.
Picha ya pamoja.
No comments:
Post a Comment