Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
akiwasili kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium)
jijini Lusaka kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6
wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu Septemba 13, 2016
Rais Robert Mugabe akisalimiana na Rais wa Kwanza wa Zambia Dkt Kenneth Kaunda
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Rais wa Botswana Luteni Jenerali Seretse Khama baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium)
jijini Lusaka kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6
wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu Septemba 13, 2016
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
akiwa na Naibu Rais wa Kenya Mhe william Rutto, Makamu wa Rais wa
Namibia Mhe. Nickey Iyambo na Rais wa kwanza wa Zambia Dkt. Kenneth Kaunda baada
ya kuwasili kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes
Stadium) jijini Lusaka kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa
Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu Septemba 13, 2016
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
akiwa na Naibu Rais wa Kenya Mhe william Ruttona wageni wengine
wakielekea jukwaani kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes
Stadium) jijini Lusaka ambako amemuwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa
kwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu Septemba 13,
2016
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
akipitia ratiba kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes
Stadium) jijini Lusaka ambako kamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais
wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu Septemba 13, 2016
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan na
viongozi wengine wakiwa kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National
Heroes Stadium) jijini Lusaka ambako kamwakilisha Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwenye sherehe za kuapishwa
kwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu Septemba 13,
2016
Rais
mteule wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu akiwasili kwenye uwanja wa Taifa wa
Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka kwenye sherehe za
kuapishwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu Septemba 13, 2016
Rais
mteule wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu akipokea heshima ya mizinga 21
kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini
Lusaka kwenye sherehe za kuapishwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya 6 wa
Zambia Mhe Edgar C. Lungu Septemba 13, 2016
Rais
mteule wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu akiwa na mkewa Mama Esther Lungu
kwenye uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini
Lusaka kwenye sherehe za kuapishwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya 6 wa
Zambia Mhe Edgar C. Lungu Septemba 13, 2016
Rais
mteule wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu akila kiapo kwenye uwanja wa Taifa
wa Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka kwenye sherehe za
kuapishwa kwake kuwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Septemba 13, 2016
Taswira ya Makamu
wa Rais wa Zambia Mama Inonge Mutukwa Wina akila kiapo ikionekana
kqwenye luninga kubwa kwenyeUwanja wa Taifa wa Mashujaa jijini Lusaka
Septemba 13, 2016
Rais Robert Mugabe wa Zambia akizungumza kwa niaba ya viongozi waalikwa wote
Ndege vita zikipita angani
Rais Edgar C. Lungu akielekea kukagua gwaride la heshima baada ya kula kiapo
Rais Edgar C. Lungu akikagua gwaride la heshima baada ya kula kiapo
Rais Edgar C. Lungu akielekea jukwa kuu baada ya kukagua gwaride la heshima
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan na
viongozi walikwa wengine kwenye sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu
ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu Septemba 13, 2016
Ndege vita zikipamba sherehe angani
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
akimpongeza Makamu wa Rais wa Zambia Mama Inonge Mutukwa Wina kwenye
sherehe za kuapishwa kwa Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu Septemba 13, 2016
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan na
viongozi wengine wakisimama na kushiriki dua kwenye uwanja wa Taifa wa
Mashujaa (National Heroes Stadium) jijini Lusaka baada ya shughuli za
kuapishwa Rais Lungu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
akinong'onezwa jambo na Katibu Mkuu Wizara ya Vijana, Michezo na
Maendeleo ya watoto Mhe. Agnes Musunga baada ya sherehe za kuapishwa kwa
Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu Septemba 13, 2016
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan
akiongea na mwandishi wa habari wa ZNBC baada ya sherehe za kuapishwa kwa
Rais wa Awamu ya 6 wa Zambia Mhe Edgar C. Lungu Septemba 13, 2016.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment