Matukio : Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu afanya ziara katika kituo cha Mpaka wa Rusumo - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


21 Sept 2016

Matukio : Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu afanya ziara katika kituo cha Mpaka wa Rusumo


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (wa kwanza kushoto) akiwa katika ziara yake mpakani mwa Tanzania na Rwanda (Rusumo) kwa lengo la kufanya Tathimini ya Utekelezaji wa mpango wa maboresho ya mazingira ya biashara na uwekezaji nchini.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua akizungumza na baadhi ya madereva wa malori wakati wa ziara yake katika kituo cha Rusumo Wilayni Ngara Mkoa wa Kagera.
Msimamizi wa Mamlaka ya Mapato kituo cha Rusumo Bw.Ally Ellyan (katikati) akitoa maelezo ya hali ya kituo hicho kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua wakati wa ziara yake mpakani hapo.
Baadhi wa wajumbe wa kikao cha wafanyakazi wa Kituo cha Rusumo wakinukuu hoja kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Dkt. Hamisi Mwinyimvua (hayupo pichani) wakati wa ziara yake mpakani hapo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad