Teknolojia : Wakazi wa Mbeya wanufaika na gulio la simu la bei Chee za Vodacom Tanzania - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


8 Aug 2016

Teknolojia : Wakazi wa Mbeya wanufaika na gulio la simu la bei Chee za Vodacom Tanzania


Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania, Lawreny Vimenty(kulia) akimkabidhi John Mwalusako simu aliyonunua jana katika Gulio la simu linaendeshwa na kampuni hiyo, katika kituo cha mabasi cha nane nane wakati wa maadhimisho ya wakulima Nane nane yanayoendelea katika uwanja John Mwakangale jijini Mbeya.

Wacheza shoo wakiendelea kutoa burudani kwa wateja waliofika kwenye Gulio la simu lililoendeshwa na Vodacom Tanzania,katika kituo cha mabasi cha nane nane wakati wa maadhimisho ya wakulima Nane nane yanayoendelea katika uwanja John Mwakangale jijini Mbeya.

Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania(wenye flana nyeusi) wakitoa huduma mbalimbali kwa wateja waliofurika katika Gulio la simu liloandaliwa na kampuni hiyo,katika kituo cha mabasi cha Nane nane nje ya viwanja vya maonyesho ya wakulima Nane nane maarufu John Mwakangale.

Post Top Ad