Michezo : Simba Yaichapa Ndanda FC kwa Bao 3 -1 - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


21 Aug 2016

Michezo : Simba Yaichapa Ndanda FC kwa Bao 3 -1Mshambuliaji wa Timu ya Simba, Shiza Kichuya akishangilia Ushindi sambamba na Mashabiki wa Simba baada ya kuipatia timu yake bao la tatu dhidi ya Timu ya Ndanda, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 3-1.
Mshambuliaji wa Timu ya Simba, Shiza Kichuya akiachia shuti lililopelekea kuipatia Timu yake bao la tatu dhidi ya Timu ya Ndanda, katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 3-1.
 Mshambiaji wa Simba, Laudit Mavugo akiondoka na kijiji cha wachezaji wa Ndanda katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 3-1.
Kipa wa Simba, Vincent Agban akiruka na kuusindikiza kwa macho mpira ukiingia wavuni baada ya kupigwa kichwa safi kabisa na Mshambuliaji wa Timu ya Ndanda, Omary Mponda na ikiwa ni goli la kufutia machozi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania uliochezwa jioni ya leo kwenye Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es salaam. Simba imeshinda Bao 3-1.
Beki wa Simba, Mohamed Hussein akiondoka na mpira.
Kocha Mkuu wa Timu ya Ndanda, Hamimu Mawazo na Bechi lake la ufundi.
Kocha Mkuu wa Timu ya Simba, Joseph Omog na benchi lake la ufundi.
Hatari langoni mwa timu ya Ndanda.


Post Top Ad