Matukio : Ntibenda Akabidhi ofisi kwa Mkuu Mpya wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Mrisho Gambo - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


21 Aug 2016

Matukio : Ntibenda Akabidhi ofisi kwa Mkuu Mpya wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Mrisho Gambo

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Bw. Felix Daud Ntibenda Akisaini daftari la makabidhiano ya ofisi, wakati akikabidhi ofisi kwa mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo .
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Mhe. Mrisho Gambo akiwa na Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Bw. Felix Daud Ntibenda wakiondoka eneo la tukio mara baada ya  makabidhiano ya ofisi.
 Felix Ntibenda akizungumza machache kwa viongozi wa ulinzi na Usalama wa Mkoa wa Arusha (Hawapo Pichani ) mara baada ya kukabidhi ofisi kwa Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Mrisho Gambo .
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Bw. Felix Daud Ntibenda Akikabidhi Hati ya Makabidhiano ya ofisi kwa mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo .

Post Top Ad