Matukio : Mahojiano na mjasiriamali na mwanaharakati Diana Gasper - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


22 Aug 2016

Matukio : Mahojiano na mjasiriamali na mwanaharakati Diana Gasper


Katika huyu na yule wiki hii, tumezungumza Mwanzilishi na Mkurugenzi wa Kinyago Travels and Tours na Stuka Tanzania Diana Gasper, ambaye pamoja na mambo mengine, amezungumzia historia yake, ya kampuni zake na harakati nzima za biashara na harakati za kuikomboa jamii ya Tanzania
Amezungumza mengi
Unaweza kutembelea tovuti yao http://kinyagotravel.com/ ama kupitia Instagram @diana_gasper ama @kinyagotravel ama @stukatanzania

Post Top Ad