Matukio : Bodi mpya ya Udhamini Hospitali ya Taifa ya Muhimbili yazinduliwa - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Wednesday, 24 August 2016

demo-image

Matukio : Bodi mpya ya Udhamini Hospitali ya Taifa ya Muhimbili yazinduliwa

1
 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu (katikati), akizungumza na wafanyakazi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), wakati akizindua bodi mpya ya udhamini wa hospitali hiyo Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mwenyekiti mpya wa bodi hiyo, Dk.Charles Majinge na Kulia ni Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Michael John.
2
 Mwenyekiti mpya wa bodi hiyo, Dk.Charles Majinge (kushoto), akizungumza katika uzinduzi wa bodi atakayoiongoza.
IMG_5193
 Wafanyakazi wa Hospitali hiyo wakiwa kwenye uzinduzi huo.
IMG_5194
 Usikivu wakati waziri akizungumza nao.
IMG_5196
 Maofisa uuguzi wakiwa kwenye uzinduzi huo.
IMG_5205
 Kaimu Mkurugenzi wa MNH, Profesa Lawrence Museru (kushoto), akiwa kwenye uzinduzi huo. Kulia ni Mjumbe wa bodi hiyo, Esther Manyesha na Dk. Ellen Mkondya Senkoro.
IMG_5215
 Uzinduzi ukiendelea.
IMG_5228
Wadau wa sekta ya afya wakifuatilia uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *