Matukio : DC Gabriel Daqarro aapishwa , aahidi Makubwa Arusha - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Wednesday, 24 August 2016

demo-image

Matukio : DC Gabriel Daqarro aapishwa , aahidi Makubwa Arusha


1
Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro akiapa kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mrisho Gambo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha.

2
Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akisaini hati ya kiapo cha Mkuu wa wilaya mpya ya Arusha,Gabriel Daqarro(kulia)wanaoshuhudia ni Katibu Tawala mkoa,Richard Kwitega na Afisa wa Itifaki,Mukhsin Khasim.

3
Viongozi mbalimbali katika Jiji la Arusha wakifatilia tukio hilo.

4
Mwenyekiti wa CCM na Mbunge mstaafu wa Longido,Lekule Laizer(kushoto) akimskiliza Mjumbe wa mkutano Mkuu wa CCM wilaya ya Arusha DC,Mathias Manga.

5
Mkuu wa wilaya ya Arusha,Gabriel Daqarro akitoa shukrani zake baada ya kuapishwa.

6
Picha ya pamoja na viongozi mbalimbali.

No comments:

Post a Comment

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *

Contact Form

Name

Email *

Message *