Mkuu
mpya wa wilaya ya Arusha Mrisho Gambo akiongea na wadau mbalimbali
waliouthuria katika sherehe za kuapishwa kwa wakuu wa wilaya wapya wa
wilaya tano zilizopo mkoa ndani ya mkoa wa Arusha ,ambapo mkuu huyu wa
wilaya aliwataka wadau mbalimbali pamoja na wananchi kumpa ushirikiano
katika kufanya kazi ,huku akisisitiza kuwa swala ya siasa pamoja na
mambo ya kisiasa yameisha sasa hivi ni muda wa kufanya kazi tu(Habari picha na Woinde Shizza, Arusha )
Wakuu wa wilaya za mkoa wa Arusha walioapishwa Jumamosi wakiwa katika picha ya pamoja na mkuu wa mkoa wa Arusha Daud Felexs Ntebenda pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Adolfu Mapunda nje ya jengo la ofisi ya mkuu wa mkoa
Mkuu
wa wilaya ya Longido Daniel Geofrey Chongolo akikaribishwa rasmi na
mmoja wa viongozi wa CCM wilayani humo kwa kupewa shuka la Kimasai hii
ikiwa ishara ya kuwa wilaya yake ina wananchi wengi wa kabila la kimasai
na Kiarusha ambao ni wafugaji
Aliekuwa mkuu wa wilaya ya Arumeru Wilson Nkambaku akiongea
na wananchi wa mkoa wa arusha pamoja na baadhi ya viongozi wakati wa
sherehe za kuwaapisha wakuu wapya wa wilaya ambao wameteuliwa na rais
Magufuli,ambapo mkuu huyu wa wilaya aliwaomba wananchi pamoja na
wafanyakazi wa serekali kuwapa ushirikiano wa kutosha viongozi
walioteuliwa huku akimshukuru rais magufuli kwa kumpa ushirikiano katika
kipindi cha miezi nane aliyefanya nae kazi huku akimuaidi kuendelea
kutoa ushirikiano katika serekali yake pamoja na chama kwa ujumla
Baadhi ya wananchi waliouthuria sherehe izo za kuapishwa wakuu wapya wa wilaya
Mkuu
wa wilaya ya Monduli nne Idd Hassan Kimanta kushoto kulia kwake ni mkuu
wa mkoa wa Arusha wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa wilaya
ya monduli mara baada ya kuapishwa
Mkuu wa wilaya ya Longido Mhe. Daniel Geofrey Chongolo akiwa na mkuu wa mkoa wa Arusha Daud Felexs Ntebenda
pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Bw. Adolfu Mapunda katika
picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa wilaya ya longido
mkuu
wa wilaya ya Arusha Mrisho gambo wa kwanza kushoto akifuatiwa na mkuu
wa wilaya ya Arumeru Alexander Pastory Mnyeti wa pili ,watatu ni mkuu
wa wilaya ya ngorongoro
Rashid Mfaume Taka watatu kutoka kushoto akifuatiwa na mkuu wa wilaya ya longido Daniel Geofrey Chongolo,wa kwanza kulia ni mkuu wa wilaya ya Karatu Therezia Jonathan Mahongo
Rashid Mfaume Taka watatu kutoka kushoto akifuatiwa na mkuu wa wilaya ya longido Daniel Geofrey Chongolo,wa kwanza kulia ni mkuu wa wilaya ya Karatu Therezia Jonathan Mahongo
huku
wa pili akiwa ni mkuu wa wilaya ya monduli Idd Hassan Kimanta mara
wakiwa wameketi wakisiliza hutuba ya mkuu wa mkoa wa Arusha (hayupo
pichani )mara baada ya kuapishwa rasmi
baadhi
ya wadau mbalimbali wakiwemo wafanyabiashara ,viongozi wa dini na
wananchi waliouthuthiria katika sherehe za kuapishwa wakuu wa wilaya
wapya wa mkoa wa Arusha
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Alexander Pastory Mnyeti akila kiapo cha utiii mbele ya mkuu wa mkoa wa Arusha
No comments:
Post a Comment