Just IN : Mbunge wa Zamani wa Kilindi, Beatrice Shelukindo Afariki Dunia - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


3 Jul 2016

Just IN : Mbunge wa Zamani wa Kilindi, Beatrice Shelukindo Afariki Dunia


Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii usiku huu inaeleza kuwa, Mbunge wa zamani wa Jimbo la Kilindi Mkoani Tanga, Beatrice Shelukindo, amefariki Dunia leo jijini Arusha kufuatia kuugua kwa muda. Taarifa kamili itawajia kadri itakabyokuwa ikitufikia.MUNGU AIWEKE ROHO YAKE MAHALA PEMA - AMIN.

Post Top Ad