Biashara : Banda la Benki ya CRDB Lavutia wengi Maonyesho ya SabaSaba - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


3 Jul 2016

Biashara : Banda la Benki ya CRDB Lavutia wengi Maonyesho ya SabaSaba


 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei (wa pili kushoto), akishiriki kutoa huduma kwa wateja waliofika katika banda la benki hiyo lililopo kwenye Maonyesho ya Biashara ya 40 ya Kimataifa katika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.  (Picha na Francis Dande)
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza na waandishi wa habari  alipotembelea banda la CRDB na kushiriki kutoa huduma kwa wateja waliofika katika banda hilo. 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari.
 Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Robertius Twijuke (kushooto) akitoa maelezo kwa mmoja wa wateja wa benki hiyo waliofika kwenye banda la benki hiyo wakati wa maonyesho ya Biashara ya 40 ya Kimataifa yanayoendelea katika viwanja vya Sabasaba.
 Banda la CRDB linavyoonekana.
Banda la Benki ya CRDB.
Ofisa Mauzo wa Benki ya CRDB, Robertius Twijuke (katikati) akimuhudumia mteja wa benki hiyo kwenye maonyesho ya Sabasaba.
Wateja wa Benki ya CRDB wakipata maelezo ya huduma mbalimbali zitolewazo na benki hiyo.
 Ofisa Masoko wa Benki ya CRDB, Gerald Mhalanyambu (kushoto), akimsikiliza mteja wa benki hiyo.
 Wateja wa benki ya CRDB, wakipata maelezo juu ya huduma za benki hiyo.
 Wateja wa Benki ya CRDB wakiwa katika foleni ya kutoa na kuweka fedha katika tawi linalotembea lililopo katika maonyesho ya Sabasaba.
 Wateja wa Benki ya CRDB wakipata maelezo katika banda la benki ya CRDB.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei (katikati), akipata maelezo kutoka kwa Ofisa wa VETA wakati alipotembelea maonyesho ya Biashara ya 40 ya Kimataifa ya Sabasaba.

Post Top Ad