Michezo : Euro 2016:Portugal Ya Christiano Ronaldo Yatinga Robo Fainali - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Sunday, 26 June 2016

Michezo : Euro 2016:Portugal Ya Christiano Ronaldo Yatinga Robo Fainali



Na Jeff Msangi, Canada.
Ricardo Quaresma akishangilia goli lililoipeleka Portugal katika robo fainali
Goli la Ricardo Quaresma katika muda wa dakika za nyongeza umeipeleka Portugal kwenye robo fainali. Goli hilo lililokuja katika kipindi cha pili cha dakika 30 za nyongeza kufuatia sare ya 0-0 katika dakika za kawaida zinaiweka Portugal katika kundi la timu 8 ambazo baada ya mechi za kesho na Jumatatu zitakuwa zimekata tiketi kufikia hatua hiyo.
Hadi mwisho wa mchezo Portugal 1 Croatia 0.

No comments:

Post a Comment