Mtendaji Mkuu wa Mamkala ya Mji Mdogo wa Ngaramtoni,Sophia Shoko akizungumza jambo katika maadhimisho hayo. |
Diwani wa Kata ya Kiranyi ,halmashauri ya wilaya Arusha DC,John Seneu alikiwataka wananchi kutii sheria ili kulinda vyanzo vya maji. |
Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Serikali ya mchepuo wa Kiingereza ya Arusha School wakiimba Shairi lao lenye kuhamasisha utunzaji wa mazingira na kupanda miti. |
Baadhi ya viongozi kutoka halmashauri ya Arusha DC wakisikiliza kwa makini hotuba ya Mkuu wa wilaya. |
Baadhi ya viongozi kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Arusha wadau wa taasisi binafsi na wananchi kwa pamoja wameshiriki kikamilifu Siku ya mazingira duniani. |
Baadhi ya mabalozi wa taasisi ya vijana wa Umoja wa Mataifa(UN)walioshiriki maadhimisho hayo katika Shule ya Msingi Kiranyi. |
Katibu Tawala(RAS)mkoa wa Arusha,Richard Kwitega akipanda mti katika maadhimisho ya siku ya mazingira leo. |
Mrembo Morine Ayub Mollel ambaye ameshinda taji la Miss Arusha akipanda mti kwenye bustani ya Shule ya Msingi Kiranyi. |
No comments:
Post a Comment