Matukio : Mhe. Samia Suluhu Amwakilisha Rais Dk. Magufuli katika mkutano wa wakuu wa Afrika, Papua- New Guinea. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Wednesday, 1 June 2016

demo-image

Matukio : Mhe. Samia Suluhu Amwakilisha Rais Dk. Magufuli katika mkutano wa wakuu wa Afrika, Papua- New Guinea.


IMG_0015
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu wa Papua New Guinea Mhe. Peter O Neil Alipowasili Katika kituo cha Mikutano cha kimataifa ACC mjini Papua New Guinea Mei 31,2016 kwa ajili ya kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa siku mbili kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific (ACP) unaojadili masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama, kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa.
IMG_0037
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe walipokutana Katika kituo cha Mikutano cha kimataifa ACC mjini Papua New Guinea  Mei 31,2016 kwa ajili ya kuhudhuria ufunguzi wa mkutano wa siku mbili kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific (ACP) unaojadili masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama, kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa.
IMG_0136
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akichangia baadhi ya mada zilizowasilishwa kwenye mkutano wa siku mbili kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific Katika kituo cha Mikutano cha kimataifa ACC mjini Guinea  Mei 31,2016.  Mkutano huo unaojadili kuhusu masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama, kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa.
IMG_0066
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifuatilia kwa makini Hotuba ya Waziri Mkuu wa Papua New Guinea Mhe. Peter O Neil alipokua akifungua mkutano wa siku mbili kwa Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific Katika kituo cha Mikutano cha kimataifa ACC mjini Guinea  Mei 31,2016  Mkutano huo unaojadili kuhusu masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama, kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa. 
IMG_0088
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katikati akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi na Wakuu wa Nchi za Afrika, Caribean na Pacific waliohudhuria ufunguzi wa mkutano wa siku mbili  unaojadili kuhusu masuala ya kukuza Usawa na Maendeleo endelevu kwa ajili ya Wananchi wa Nchi wanachama, katika kuimarisha majukumu ya Nchi za ACP katika Utawala Bora na Maendeleo, Usalama na Utulivu wa kisiasa. Mkutao huo umefunguliwa  Mei 31,2016 katika kituo cha mikutano cha ACC mjini Papua New Guinea.                       IMG_0103
 Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius B. Likwelile.na katibu wake Waziri Rajab. 
(Picha na OMR)

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *