Aliyekwa Mbunge wa Jimbo la Longido,Mh.Onesmo NangoleKesi iliyokuwa
ikiunguruma kuanzia Februari 29 ,2016 katika Mahakam Kuu jijini Arusha
imetolewa hukumu leo hiiKatika shauri hilo aliyekuwa mgombea ubunge wa CCM
jimbo la Longido Dkt Kiruswa alifikisha mahakamni shauri hilo la kupinga
matokeo ya ushindi dhidi ya mbunge wa Longido Mh.Onesmo Nangole.Akisoma
hukumu hiyo,Jaji Mwagesi alisema kuwa mlalamikaji ndugu Kiruswa
aliwakilishwa na Wakili msomi Dr.Masumbuko Lamwai na Wakili Haraka.
No comments:
Post a Comment