Michezo : Dk. Shein afungua mashindano ya Tamasha la Michezo ya vyuo vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


22 May 2016

Michezo : Dk. Shein afungua mashindano ya Tamasha la Michezo ya vyuo vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono wanamichezo wa vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar wakati wa ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo hivyo yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo.
Wanafunzi wa Chuo cha Kilimo Kizimbani wakiwa katika maandamano wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein.
Wanafunzi wa Chuo cha Mwalimu Nyerere Tawi la Zanzibar wakiwa katika maandamano wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein.
Wanafunzi wa Chuo cha Utawala wa Umma Zanzibar wakiwa katika maandamano wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein.
Wanafunzi wa Chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar wakiwa maandamano wakati wa Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake katika Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo. 
Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli mbali mbali za Sekondari wakiwa ni miongoni wa washiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein.
Viongozi mbali mbali walioshiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein.
Viongozi mbali mbali walioshiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein.
Baadhi ya Wananchi walioshiriki katika Ufunguzi wa Mashindano ya Tamasha la Michezo ya Vyuo Vikuu na Taasisi za Elimu ya Juu Zanzibar yaliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja leo,ambapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein. Picha na Ikulu, Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad