Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa awasili , Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


30 May 2016

Matukio : Waziri Mkuu, Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa awasili , Jijini Arusha


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kulia) na Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix (katikati) baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Arusha leo ambako May 31, 2016 anatarajiwa kufungua mkutano wa Kimataifa wa 'Africa World Heritage' kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha -AICC. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Post Top Ad