Matukio : TFDA yakutana na wadau wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro. - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


10 May 2016

Matukio : TFDA yakutana na wadau wa mikoa ya Arusha na Kilimanjaro.

 Mkuu wa mkoa wa Arusha Bw. Daud Ntibenda akifungua kikao kazi cha wadau wa TFDA katika sekta ya Habari mkoani Arusha.
 Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bw. Said Mecki Sadiki akizungumza na maafisa wa TFDA ofisini kwake walipokwenda kumtembelea ofisini kwake na kujadili masuala ya udhibiti wa chakula, dawa, vipodozi na vifaa tiba katika mkoa wake.
Picha ya Pamoja.
Wadau wa Habari mkoani Arusha wakifuatilia mada mbalimbali.  
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mkuu wa TFDA bi. Charys Ugulum akitoa Maelezo ya utangulizi katika kikao kazi mkoani Arusha.

Post Top Ad