Matukio Bungeni : Tizama Video ya Waziri Kitwanga akijibu maswali Bungeni na kudaiwa alikuwa kalewa - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


22 May 2016

Matukio Bungeni : Tizama Video ya Waziri Kitwanga akijibu maswali Bungeni na kudaiwa alikuwa kalewa


Moja ya stori kubwa Tanzania May 20 2016 ni pamoja na hii ya maamuzi ya Rais John Pombe Magufuli kutengua uteuzi wa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Charles Kitwanga.
Taarifa iliyonifikia ni kwamba Rais Magufuli amemfuta Waziri Kitwanga kutokana na kuingia Bungeni kujibu swali linalohusu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakati akiwa amelewa.
Hii ndio video ikimuonyesha Waziri Kitwanga akijibu maswali hayo Bungeni ….

Post Top Ad