Just In : Serikali yaivunja bodi ya TCU, yawasimamisha kazi vigogo - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


25 May 2016

Just In : Serikali yaivunja bodi ya TCU, yawasimamisha kazi vigogo

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Prof. Joyce Ndalichako amevunja Bodi ya Tume ya Vyuo Vikuu nchini Tanzania(TCU ) kufuatia Tume hiyo kupitisha majina ya wanafunzi 486 wasio na sifa kusomea Shahada ya Elimu.

Pia,Waziri Ndalichako amewasimamisha kazi Maafisa kadhaa waandamizi wa TCU kwa kushindwa kusimamia na kutekeleza vyema wajibu wa TCU. Waziri Ndalichako amewateua Makaimu wa nafasi za waliosimamishwa. Habari zaidi zitafuata...

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad