Biashara : CRDB yafanya mkutano wa wanahisa ,Jijini Arusha - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


23 May 2016

Biashara : CRDB yafanya mkutano wa wanahisa ,Jijini Arusha


 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Martin Mmari akihutubia mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB katika ukumbi wa AICC Arusha. 
 Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Wanahisa.
 Mwenyekiti Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akijibu maswali ya wanahisa.
Wanahisa wakiwa katika mkuano.
 Manaibu Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka na Saugata Bandyopadhyay wakifurahia jambo wakati wa mkutano huo.
Mwanahisa akiuliza swali.
Mwenyekiti Abeid Mwasajone akiongoza mkutano wa wanahisa. Katikati ni Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambo na Makamu Mwenyekiti, Steven Mashishanga.
Wanahisa wakifuatilia mkutano.
Wanahisa wakijiandikisha.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Dk. Charles Kimei akizungumza na Naibu Mkurugeni Mtendaji wa benki hiyo, Saugata Bandyopadhyay.
Wanahisa.
 Wanahisa wakipiga kura kuwachagua wajumbe wa bodi ya wakurugenzi katika benki ya CRDB.
Wakurugenzi wa Benki ya CRDB pamoja na mjumbe wa bodi wakijadiliana jambo, Boniface Muhegi (kulia) wakati wa mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanahisa wa benki hiyo. Kutoka kushoto ni Tullyesther Mwambapa, Philip Alfred na Anderson Mlabwa.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa wateja wa Benki ya CRDB, Tullyesther Mwambapa akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Mkoa wa Mbeya, Benson Mwakyusa.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad