Ubunge na Muziki : SUGU - FREEDOM (Official Music Video) is Out. - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 26 April 2016

Ubunge na Muziki : SUGU - FREEDOM (Official Music Video) is Out.


Mbunge wa Mbeya mjini ambaye ni msanii wa kitambo wa hiphop Tanzania Joseph Mbilinyi (Mr. II Sugu) aliahidi wiki kadhaa zilizopita kwamba ataachia video yake mpya baada ya kimya kirefu kwenye bongofleva, hii inaitwa ‘Freedom‘ ikiwa ni kazi ya mikono ya MJ Records.
Ndani wameonekana mastaa kadhaa wa bongo akiwemo Roma Mkatoliki, Producer Master J na Profesa Jay ambapo Mr. II kaiwakilisha Mbeya vizuri kwa kuvaa jezi ya Mbeya City Football Club pamoja na kofia yenye chata ya Mbeya.

No comments:

Post a Comment