Bendera
ya Shirikisho la Soka Afrika ikiomgozwa na vijana wa soka nchini,
wakati wa kuziingiza timu za Yanga na Al Ahly ya nchini Misri, tayari
kwa mtanange wa Mashindano ya kuwania Kombe la Klabu Bingwa Afrika,
uliopigwa jioni ya leo katika dimba la Taifa, Jijini Dar es salaam. Timu
hizo zimetoka suluhu ya kufungana bao 1-1.PICHA ZOTE NA OTHMAN
MICHUZI-MMG.
Kikosi cha Timu ya Yanga ya Tanzania.
Kikosi cha Timu ya Al Ahly ya nchini Misri.
Kocha wa Timu ya Yanga, Hans Van Der Pluijm akiwa kwenye benchi la ufundi na wasaidizi wake.
Kocha wa Timu ya Al Ahly ya Misri, Martin Joel akiwa na benchi lake la ufundi.
Mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Donald Ngoma akichuana vikali na Mabeki wa timu ya Al Ahly ya Misri, wakati wa mtanange
wa Mashindano ya kuwania Kombe la Klabu Bingwa Afrika, uliopigwa jioni
ya leo katika dimba la Taifa, Jijini Dar es salaam. Timu hizo zimetoka
suluhu ya kufungana bao 1-1.
Kiungo Mkabaji wa Timu ya Yanga, Salum Telela, akiwania mpira wa juu na Abdallah Said wa Al Ahly, wakati wa mtanange
wa Mashindano ya kuwania Kombe la Klabu Bingwa Afrika, uliopigwa jioni
ya leo katika dimba la Taifa, Jijini Dar es salaam. Timu hizo zimetoka
suluhu ya kufungana bao 1-1.
Mchezaji wa Yanga, Deus Kaseke, akiichambua kama karanga, ngome ya Al Ahly, wakati wa mtanange
wa Mashindano ya kuwania Kombe la Klabu Bingwa Afrika, uliopigwa jioni
ya leo katika dimba la Taifa, Jijini Dar es salaam. Timu hizo zimetoka
suluhu ya kufungana bao 1-1.
Wachezaji
wa Timu ya Al Ahly, wakishangilia baada ya kupata bao la kuongoza mnamo
dakika ya 10 ya mchezo, dhidi ya Timu ya Yanga, iliwa ni mchezo wa kuwania
Kombe la Klabu Bingwa Afrika, uliopigwa jioni ya leo katika dimba la
Taifa, Jijini Dar es salaam. Timu hizo zimetoka suluhu ya kufungana bao
1-1.
Ilikuwa ni shangwe mwanzo mwisho kwa Mashabiki wa timu ya Al Ahly.
Donald Ngoma wa Yanga, akiondoka na mpira mbele ya Beki wa Al Ahly, Rami Rabea.
Jukwaa kuu mambo yalikuwa hivi.
Mshambuliaji wa Timu ya Yanga, Donald Ngoma akichuana vikali na Mabeki wa timu ya Al Ahly ya Misri, wakati wa mtanange
wa Mashindano ya kuwania Kombe la Klabu Bingwa Afrika, uliopigwa jioni
ya leo katika dimba la Taifa, Jijini Dar es salaam. Timu hizo zimetoka
suluhu ya kufungana bao 1-1.
Mshambuliaji
wa Timu ya Yanga, Amisi Tambwe akiondoka na mpira huku Mabeki wa timu
ya Al Ahly ya Misri wakimfata bila kujua la kufanya, wakati wa mtanange
wa Mashindano ya kuwania Kombe la Klabu Bingwa Afrika, uliopigwa jioni
ya leo katika dimba la Taifa, Jijini Dar es salaam. Timu hizo zimetoka
suluhu ya kufungana bao 1-1.
Washabiki wa timu ya Yanga.
Salum Telela wa Yanga, akiichachafya ngome ya Al Alhy, katika mtanange
wa Mashindano ya kuwania Kombe la Klabu Bingwa Afrika, uliopigwa jioni
ya leo katika dimba la Taifa, Jijini Dar es salaam. Timu hizo zimetoka
suluhu ya kufungana bao 1-1.
Gemu likiendelea.
Hapa ni mwendo wa kupimana misuli tu......
Ngoma tena
No comments:
Post a Comment