Mbunge wa Monduli Julius Kalanga akimpongeza moja ya wanafunzi wa shule ya Sekondari Moringe Sokoine wakati wa mahafali ya kidato cha sita, kulia kwake ni Dk. Eliamani Laltaitaka mkufunzi kutoka chuo cha Sayansi cha Mandela.
Mbunge wa Monduli Julius Kalanga akizungumza na Wanafunzi wa shule ya Sekondari Moringe iliyoko wilayani huko jana wakati wa mahafali ya kidato cha sita.
Wanafunzi wakimsikiliza kwa makini Mbunge wa Monduli Julius Kalanga (hayupo pichani) wakati wa mahafali ya kidato cha sita katika shule ya sekondari ya Moringe Sokoine, Monduli - Arusha. Picha na Ferdinand Shayo.
No comments:
Post a Comment