Katibu
Mkuu wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, ,Njinsia, Wazee na Watoto,
Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza na wadau mbalimbli wa wa afya juu ya
utowaji wa chanjo umeanza kufanyika kuanzaia Aprili 25 hadi29 mwaka huu
wananchi wote wanaombwa kutoa ushilikiano kuwapeleka watoto wote amabo
hawajapata huduma ili wapate chanjo,leo katika maazimisho ya wiki ya
chanjao nchini, jijini Dar es Salaam.
Meneja
Mpango wa Taifa wa Chanjo wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii,
,Njinsia, Wazee na Watoto,Dkt. Dafrossa Lyimo akizungumza na wadau
mbalimbli wa wa afya juu ya chanjo ya HPV imeanza kutolewa nchini
Tanzania kuanzia mwaka 2014 kwa wasichana wenye umri wa miaka 9 lengo
ni kutoa chanjo hii nchi nzima na kuwakinga wanawake na ugonjwa wa
saratani mlango wa kizazi na kupunguza vifo na madhara yanayosababishwa
na saratani, leo jijini Dar es Salaam katika maazimisho ya wiki ya
chanjao nchini.
Afisa Mpango wa Taifa wa Chanjo, Dkt Frida Mghamba akiwakilisha mada leo katika maadhimisho ya wiki ya chanjao nchini.
Daktari
wa Watoto wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili akitowa mada juu ya huduma
za chanjo ya polio zinatolewa nchini bila malipo katika vituo vya
huduma vya afya vya uma na vituo binafsi. , leo jijini Dar es Salaam
katika maazimisho ya wiki ya chanjao nchini.
Wadu mbalimbali waliofika kwenyemkutano huo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam .
(Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya jamii)
No comments:
Post a Comment