Mkuu
wa Idara ya Mfumo wa Habari wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Khalfa
Ally (kwanza kulia) akielezea namna Kituo cha Taifa cha Kuhifadhia
Taarifa 'National Information Data Centre' kinavyofanya kazi kwa baadhi
ya wawakilishi wa wakuu wa mashirika ya umma, taasisi binafsi, wizara na
idara za Serikali leo jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Idara ya Mfumo wa Habari wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Khalfa
Ally (kwanza kulia) akifafanua jambo kwa kwa baadhi ya wawakilishi wa
wakuu wa mashirika ya umma, taasisi binafsi, wizara na idara za Serikali
leo jijini Dar es Salaam wakati Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa alipozungumzia wadau hao kutumia
Kituo cha Taifa cha Kuhifadhia Taarifa 'National Information Data
Centre' kuhifadhia taarifa zao.
Mkuu
wa Idara ya Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano, Adin Mgendi (wa kwanza
kulia) akifafanua jambo juu ya Kituo cha Taifa cha Kuhifadhia Taarifa
'National Information Data Centre' kinavyofanya kazi kwa usalama mkubwa
wakati Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa
(hayupo pichani) alipozungumza na wadau hao juu ya matumizi ya kituo
hicho kuhifadhia taarifa.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akizungumza
na wawakilishi wa wakuu wa mashirika ya umma, taasisi binafsi, wizara na
idara za Serikali juu ya kukitumia Kituo cha Taifa cha Kuhifadhia
Taarifa 'National Information Data Centre' ili kuhifadhia taarifa zao.
Baadhi
ya waandishi wa habari wakifuatilia mkutano wa Waziri wa Ujenzi,
Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa na wawakilishi wa wakuu
wa mashirika ya umma, taasisi binafsi, wizara na idara za Serikali juu
ya matumizi ya 'National Information Data Centre'
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kushoto)
akizungumza na wawakilishi wa wakuu wa mashirika ya umma, taasisi
binafsi, wizara na idara za Serikali juu ya kukitumia Kituo cha Taifa
cha Kuhifadhia Taarifa 'National Information Data Centre' ili kuhifadhia
taarifa zao. Katikati ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu
Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura pamoja na Ofisa Mkuu Idara ya
Ufundi TTCL, Senzige Kisonge wakifuatilia mazungumzo hayo.
Mkuu
wa Idara ya Compyuta NSSF, Yahaya Madenge (kulia) akiuliza swali kupata
ufafanuzi juu ya usalama wa Kituo cha Taifa cha Kuhifadhia Taarifa
'National Information Data Centre'.
Meneja
Uendeshaji Mifumo ya Taarifa toka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC),
Injinia Suzanne Kyaruzi akiuliza kupata ufafanuzi juu ya Kituo cha Taifa
cha Kuhifadhia Taarifa 'National Information Data Centre' kinavyofanya
kazi na kumlinda mteja wake.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (mwenye tai
ya mistari miekundu) akizunguka na baadhi ya wawakilishi wa wakuu wa
mashirika ya umma, taasisi binafsi, wizara na idara za Serikali vitengo
vya IT kuwaonesha miundombinu ya Kituo cha Taifa cha Kuhifadhia Taarifa
'National Information Data Centre' ilivyojengwa kisasa kumlinda mteja
wake na taarifa zinazohifadhiwa katika kituo hicho.
Baadhi
ya mashine kubwa za kisasa za kufua umeme katika Kituo cha Taifa cha
Kuhifadhia Taarifa 'National Information Data Centre'.
Baadhi
ya mitungi ya gesi ya kuzimia moto endapo ukitokea inayofanya kazi kwa
kujiongoza yenyewe mara tukio la moto linapojitokeza katika Kituo cha
Taifa cha Kuhifadhia Taarifa 'National Information Data Centre'.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
(kulia) akimuonesha Meneja Uendeshaji Mifumo ya Taarifa toka Shirika la
Nyumba la Taifa (NHC), Injinia Suzanne Kyaruzi moja ya vyumba maalumu
vya usalama katika Kituo cha Taifa cha Kuhifadhia Taarifa 'National
Information Data Centre'.
Ofisa
Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Dk. Kamugisha Kazaura
(katikati) akimuonesha Meneja Uendeshaji Mifumo ya Taarifa toka Shirika
la Nyumba la Taifa (NHC), Injinia Suzanne Kyaruzi (kulia) moja ya
mitambo ya kisasa katika Kituo cha Taifa cha Kuhifadhia Taarifa
'National Information Data Centre'.
Baadhi ya mitambo ya kuhifadhia taarifa katika Kituo cha Taifa cha Kuhifadhia Taarifa 'National Information Data Centre'.
Baadhi ya mitambo ya kuhifadhia taarifa katika Kituo cha Taifa cha Kuhifadhia Taarifa 'National Information Data Centre'.
Baadhi
ya mashine zinazofanya kazi ya kupooza mitambo katika Kituo cha Taifa
cha Kuhifadhia Taarifa 'National Information Data Centre' kilichopo
jijini Dar es Salaam.
Mkuu
wa Idara ya Mfumo wa Habari wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Khalfa
Ally (wa tatu kushoto) akifafanua jambo kwa kwa baadhi ya wawakilishi wa
wakuu wa mashirika ya umma, taasisi binafsi, wizara na idara za
Serikali leo jijini Dar es Salaam wakati Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (hayupo pichani) alipozungumzia
wadau hao kutumia Kituo cha Taifa cha Kuhifadhia Taarifa 'National
Information Data Centre' kuhifadhia taarifa zao.
No comments:
Post a Comment