Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia)
akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
Kuwait Mhandisi Yousef Al Fozan , (kushoto) aliyeongozana na
maofisa wake wakati walipowasili ofisini kwake jijini Dar es Salaam, kwa
ajili ya kusaini makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na
Kuwait. Wapili kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya
kati wa Wizara hiyo,Balozi Abdallah Kilima na Mkurugenzi Mkuu wa
Mamlaka ua Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) na
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait ,Mhandisi
Yousef Al Fozan (kushoto) wakisaini hati za makubaliaono ya Usafiri
wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania , hafla hiyo ilifanyika katika
ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) na
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait ,Mhandisi
Yousef Al Fozan (kushoto) wakielekezwa na wanasheria wao jinsi ya
kusaini hati za makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na
Tanzania , hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara
hiyo jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) na
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait ,Mhandisi
Yousef Al Fozan (kushoto) wakibadilishana hati za makubaliaono ya
Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania , hafla hiyo ilifanyika
katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam, leo.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia)
akikabidhiwa zawadi na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
nchini Kuwait ,Mhandisi Yousef Al Fozan (kushoto) mara baada ya
kumalizika kwa hafla ya kusaini makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina
ya Kuwait na Tanzania , hafla hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano
wa Wizara hiyo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini Kuwait ,Mhandisi Yousef Al
Fozan (kushoto) akikabidhiwa zawadi na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na
Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia) wakati wa hafla ya kusaini
makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania , hafla
hiyo ilifanyika katika ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa wapili
kutoka kushoto akizungumza na waadishi wa habari wakati wa hafla ya
kusaini makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania,
jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya maofisa wa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano wakimsikiliza
kwa makini waziri wa wizara hiyo Profesa Makame Mbarawa wapili (kutoka
kushoto) wakati wa hafla ya kusaini makubaliaono ya Usafiri wa Anga
baina ya Kuwait na Tanzania, jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kulia)
akimsikilza kwa makini Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga
nchini Kuwait Mhandisi Yousef Al Fozan (kushoto) wakati wa hafla
ya kusaini makubaliaono ya Usafiri wa Anga baina ya Kuwait na Tanzania,
jijini Dar es Salaam.
Baadhi
ya wadau wa masuala ya usafiri wa Anga wakiwa katika hafla ya
utilianaji saini ya makubariano ya usafiri wa Anga baina ya Tanzania na
Nchi ya Kuwait.
Baadhi
ya wadau wa masuala ya usafiri wa Anga pamoja na waadishi wa habari
wakiwa katika hafla ya utilianaji saini ya makubariano ya usafiri wa
Anga baina ya Tanzania na Nchi ya Kuwait.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wapili
kushoto) akisisitiza jambo mara baada ya kusaini makubaliano ya safari
za Anga baina ya Tanzania na Kuwait. Jijini Dar es Salaam, Kushoto ni
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait Mhandisi Yousef
Al Fozan , watatu kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya
kati wa Wizara hiyo,Balozi Abdallah Kilima na Kulia ni Mkurugenzi
Mkuu wa Mamlaka ua Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Hamza Johari.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (wa Nne
kutoka kulia ) na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait
Mhandisi Yousef Al Fozan , (watano kulia) wakiwa kwenye picha ya
pamoja na wadau wa usafiri wa Anga, jambo mara baada ya kusaini
makubaliano ya safari za Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
Waziri
wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa na
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Kuwait Mhandisi Yousef
Al Fozan , wakipongeza na mara baada ya kutiliana makubakliano ya
Usafiri wa Anga baina ya Tanzania na Kuwait.
No comments:
Post a Comment