SIMU TV: hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Arusha .Holili/Taveta- Voi (Km 234.3) - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


3 Mar 2016

SIMU TV: hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Arusha .Holili/Taveta- Voi (Km 234.3)


SIMU.TV: Fuatilia hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya Arusha .Holili/Taveta- Voi (Km 234.3); https://youtu.be/B2xI6W4ANFQ 
 SIMU.TV: Mkurugenzi wa benki ya ADB Gabriel Negatu akizungumzia namna uboreshaji wa miundombinu unavyoweza kukuza uchumi wa EAC; https://youtu.be/B2oGZrW9Tqs
 SIMU.TV: Balozi wa Japan Mashaharu Yoshida apongeza nchi za jumuiya ya Afrika mashariki kwa uboreshaji wa miundombinu na kukuza uchumi; https://youtu.be/EMywwegK-9A
 SIMU.TV: Mwenyekiti wa baraza la mawaziri EAC Dkt.Mahiga akitoa maelezao kuhusiana na yale ambayo mawaziri wa baraza hilo wameazimia; https://youtu.be/WB1VJCBbwEY 
 SIMU.TV: Rais Shein akizungumzia matarajio ya wananchi wa Kenya na Tanzania juu ya ujenzi wa miundombinu katika jumuiya hiyo; https://youtu.be/jRtV3rAx7Ec
 SIMU.TV: Hivi ndivyo balozi wa Rwanda alivyobadilisha hali ya hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi mbele ya wakuu wa nchi  wa EAC; https://youtu.be/9UC9HIct3I0  
 SIMU.TV: Makamu wa rais Sudani kusini James Igga ameleza kuwa nchi yake ni eneo la fursa ambayo wanachama wanaweza kutumia kujineemesha; https://youtu.be/15O1cRMbbRA 
 SIMU.TV: Makamo wa rais wa Burundi Dkt. Joseph Butore asifu utendaji wa rais Magufuli huku akitaja namna miundombinu inavyoharakisha maendeleo. https://youtu.be/EI2pZP55m6g
SIMU.TV: Rais Yoweri Museveni wa Uganda ataja sababu za nchi za Afrika kuwa na utajiri mwingi huku zikishindwa kuwa na maendeleo. https://youtu.be/NXHNlgJaX7s 
SIMU.TV: Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta azungumzia majukumu ya serikali katika kuwarahisishia wafanyabiashara kufanya biashara. https://youtu.be/7l2n_Q_30rI
SIMU.TV: Rais Magufuli atanabaisha wazi namna atakavyo pambana ili kuondoa nafasi kubwa iliyopo kati ya masikini na tajiri. https://youtu.be/LcKUfjMMXaA
SIMU.TV: Rais Magufuli awaahidi viongozi wa EAC kuwapa ushirikiano wa utumbuaji majipu katika nchi zao.https://youtu.be/QT5xFuGa950
SIMU.TV: Rais Magufuli amtaka waziri wa ujenzi nchini kuhakikisha wakandarasi wanajenga barabara kwa kiwango na kwa wakati muafaka. https://youtu.be/E4BKmimSZyQ
SIMU.TV: Hatimaye rais Magufuli apata maelekezo mafupi na kukagua ramani na michoro ya barabara ya kanda ya Afrika mashariki. https://youtu.be/LJiv1nur-8E

Post Top Ad