Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(kulia)
akiwa ameambatana na Bondia Francis Cheka (wapili kulia) alipotembelea Wizarani leo jijini
Dar es Salaam na Serikali imemkabidhi Cheti cha pongezi. Kushoto ni Rais wa Chama cha
ngumi Tanzania (TPBO) Yassin Adballah (Ustadh).
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye(katikati)
akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa zoezi la kumkabidhi Cheti cha pongezi
kutokana na ushindi Bondia Francis Cheka (kushoto) leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Makoye Alex Nkenyenge.
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Makoye Alex Nkenyenge (aliyesimama)
akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa zoezi la kumkabidhi Cheti cha pongezi
Bondia Francis Cheka (wa pili kushoto) kutokana na ushindi wake leo jijini Dar es Salaam.
Wapili kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
na wa mwisho kushoto ni Rais wa Chama cha Mchezo wa Ngumi Tanzania (TPBO) Yassin
Adballah (Ustadh).
Bondia Francis Cheka akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati
wa zoezi la kupokea Cheti cha pongezi kutoka kwa Serikali leo jijini Dar es Salaam. Kutoka
kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye,Rais wa
Chama cha ngumi Tanzania (TPBO) Yassin Adballah (Ustaadh) na Meneja wa Bondia huyo
Chifu Ndambile Juma Ntinginya.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wapili
kushoto) akimsikiliza kwa makini Katibu Mtendaji wa BMT Mohamed Kiganja
(aliyesimama) akizungumza na waandishi wa Habari wakati wa zoezi la kumkabidhi Cheti
cha pongezi Bondia Francis Cheka (kushoto) kutokana na ushindi wa Mkanda wa Uzito wa
Super Middle wa Mabara wa WBF leo jijini Dar es Salaam. Wapili kulia ni Mkurugenzi wa
Maendeleo ya Michezo Makoye Alex Nkenyenge.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia)
akimkabidhi Cheti cha pongezi Bondia Francis Cheka kutokana na ushindi alioupata katika
pambano baina yake na Bondia Mserbia anayeishi Uingereza Geard Ajetovic (hayupo
pichani) leo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) na
Bondi Francis Cheka wakiwaonyesha waandishi wa Habari Mkanda wa uzito wa Super
Middle wa Mabara ambao Cheka ameunyakuwa baada ya kushinda pambano la tarehe 27
Februari baina yake na Bondia Mserbia anayeishi Uingereza Geard Ajetovic (hayupo pichani)
leo jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Meneja wa Bondia huyo Chifu Ndambile Juma Ntinginya.
Picha na Frank Shija, WHUSM.
No comments:
Post a Comment