Michezo : Mashindano ya makapuni yaliyoandaliwa na kampuni ya popular sports and entertainment Tz uwanja wa DUCE jijini Dar yafana - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


20 Mar 2016

Michezo : Mashindano ya makapuni yaliyoandaliwa na kampuni ya popular sports and entertainment Tz uwanja wa DUCE jijini Dar yafana


 Mchezaji Frank Peter wa Banc ABC (kulia), akijitahidi kumtoka  Kambili John wa Ramada katika mashindano ya makampuni yaliyofanyika Uwanja wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu Dar es Salaam (DUCE), Chang'ombe jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Mashindano hayo yaliandaliwa na Kampuni ya Popular Sports and Entertainment Tanzania Ltd.
 Hapa ni kazi tu uwanjani.
 Kikosi kamili cha Timu ya Ramada.
 Kikosi cha Ramada kikiomba dua.

 Kikosi cha Banc ABC
 Kikosi cha Uhai FC
 Kikosi cha AAR
 Mtanange ukiendelea.
 Hapa mchezaji wa Banc ABC, Nicholaus Mwakijega akiwatoka wachezaji wa Ramada. Kushoto Omari Juma na kulia ni Abdul.
 Ramada wakitoka uwanjani kifua mbele baada ya kuwashinda Banc ABC bao 1-0
Hapa kiatu kiatu uwanjani.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad