Teknohama : Mwandishi wa DW aliyetoweka apatikana - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


21 Mar 2016

Teknohama : Mwandishi wa DW aliyetoweka apatikana


Mwandishi aliyewakilisha kituo cha redio cha Sauti ya Ujerumani (Deutsche Welle) visiwani Zanzibar Salma Said na ambaye alitoweka Ijumaa, amepatikana. Kamanda wa polisi wa Dar Simon Siro amethibitisha kupatikana kwa mwanahabari huyo, BBC imezungumza na Mume wa Salma Said, Bw Ali Salim Khamis, ambaye amesema kwa sasa Salma yumo anatoa maelezo kwa polisi Dar es Salaam.

Post Top Ad