Sheria : Rais Dk. John Magufuli Azindua mwaka mpya wa Kimataifa (siku ya Sheria ) Jijini Dar es Salaam - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.

Post Top Ad

4 Feb 2016

Sheria : Rais Dk. John Magufuli Azindua mwaka mpya wa Kimataifa (siku ya Sheria ) Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  akilakiwa na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila alipowasili katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam  February 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa meza kuu na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na  Jaji Mkuu wa Kenya Dkt  Willy Mutungwa wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 4, 2016
Majaji Wastaafu wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 4, 2016
Wadau wa Sheria wakisimama wakati wa wimbo wa Taifa katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 4, 2016
Wadau wa Sheria wakiwa katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo  February 4, 2016

Majaji  katika  sherehe hizo za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 4, 2016

Sheikh Khamis akisoma dua katika  sherehe hizo za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 4, 2016
Kiongozi wa dini ya Hindu sherehe hizo za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 4, 2016
Msajili wa Mahakama ya Rufaa Tanzania Mhe. John Lugalema Kahyoza ndiye aliyekuwa MC wa sherehe hiyo
Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Mhe. Biswalo Mganga akisoma risala kwa niaba ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju ambaye yuko Bungeni Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwa akisikiliza jambo tomakwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman  katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 4, 2016
Wadau wa Sheria wakiwa katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo  February 4, 2016
Viongozi wa vikosi vya ulinzi na usalama pamoja na wadau wa Sheria wakiwa katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo  February 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea risala kutoka kwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) Mhe. Biswalo Mganga aliyeisoma risala kwa niaba ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. George Masaju ambaye yuko Bungeni Dodoma
Rais wa Tanzania Law Society (TLS) Mhe. Charles Rwechungura akisoma risala ya wanasheria
Wadau wa Sheria wakiwa katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo  February 4, 2016
Wadau wa Sheria wakiwa katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo  February 4, 2016
Msajili wa Mahakama ya Rufaa Tanzania Mhe. John Lugalema Kahyoza ndiye aliyekuwa MC wa sherehe hiyo akimkaribisha Jaji Mkuu kuzungumza na hatimaye kumkaribisha Rais kuongea na kadamnasi
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman akisoma hotuba yake kwenye sherehe hizo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akihutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo February 4, 2016

Wadau wa Sheria wakifuatilia hotuba ya Rais  katika  sherehe za uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo  February 4, 2016

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiendelea kuhutubia wakati wa uzinduzi wa Mwaka Mpya wa Mahakama katika Siku ya Sheria Duniani katika uwanja wa Mahakama mtaa wa Chimala eneo la Ocean Road jijini Dar es salaam leo Jumatano February 4, 2016

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), Kamishna wa Polisi Valentino Mlowola, Kamishna Jenerali wa Magereza na Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Afande Abdulrahmani Kaniki wakifuatilia kwa makini hotuba ya Rais Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Tanzania Mhe. Bahame Nyanduga baada ya kuhutubia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Majaji wastaafu baada ya kuhutubia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na Majaji wa Mahakama ya Rufaa ya Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata picha ya kumbukumbu na viongozi wa dini, wakuu wa vikosi vya ulinzi na usalama na mabalozi.

Post Top Ad