Muziki : Lady Jay Dee Kutoa Video yake mpya #NaamkaTena - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


20 Feb 2016

Muziki : Lady Jay Dee Kutoa Video yake mpya #NaamkaTena

Mkongwe wa muziki wa bongo fleva Lady Jaydee ametangaza rasmi kurudi tena kwenye muziki baada ya ukimya wa muda kidogo kwenye muziki. Lady Jaydee ameweka wazi ujio wake mpya kwenye muziki ikiwa leo ni siku ya 29 kuelekea uzinduzi wa #NaamkaTena. Tazama promo ya siku ya 29 ambapo Mh. Nape Nnauye kamzungumzia Lady Jaydee hivi.
"Mimi Kama kiongozi wa Sanaa nchini, Nitahakikisha natetea muziki wa Tanzania Lady JayDee anaamka tena", amesema Mh.Nape Nnauye.
#LadyJayDeeOfficialCountDown #NaamkaTena

Post Top Ad