Matukio : Kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Arusha DC wilaya ya Arumeru Wapitisha taarifa ya Halmashauri hiyo - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Feb 2016

Matukio : Kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Arusha DC wilaya ya Arumeru Wapitisha taarifa ya Halmashauri hiyo


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Arusha DC wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha,Fidelis Lumato akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani,kulia ni Mwenyekiti wa halmashauri,Noah Sapuk

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Arusha DC,Noah Sapuk akizungumza kwenye kikao cha baraza la madiwani.

Baadhi ya madiwani wa halmashauri ya Arusha DC wakifatilia mijadala kwenye kikao hicho.

Baadhi ya watumishi wa halmashauri hiyo wakiwa kwenye kikao kujibu hoja mbalimbali kutoka kwa madiwani.

Baadhi ya watumishi wa halmashauri hiyo wakiwa kwenye kikao kujibu hoja mbalimbali kutoka kwa madiwani.

Diwani wa Viti Maalumu katika halmashauri ya Arusha DC,Nuru Ndossy akichangia hoja.

Diwani wa Kata ya Mateves ,Julius Mollel akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani.Post Top Ad