Matukio : Sheikh Issa Ponda Apinga Marudio ya Uchaguzi Mkuu Zanzibar - Wazalendo 25 Blog

Breaking

Glory to Story.


Post Top Ad


4 Feb 2016

Matukio : Sheikh Issa Ponda Apinga Marudio ya Uchaguzi Mkuu Zanzibar


 Katibu wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa ya kupinga kurudiwa kwa uchaguzi mkuu wa Zanzibar.

 Msemaji wa Jumuiya na Taasisi ya Kiislam Tanzania, Sheikh Rajab Katimba akitoa ufafanuzi zaidi kuhusu kurudiwa kwa uchaguzi huo Zanzibar.
 Sheikh Ponda akisalimiana na mwanahabari Said Powa wa gazeti la Tanzania Daima baada ya kumaliza kuzungumza na wanahabari.
Sheikh Ponda akiondoka baada ya kuzungumza na wanahabari.

(Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)

Post Top Ad