Matukio /Afya : Mhe. Ummy Mwalimu Akutana na kufanya mazungumzo na balozi wa Uturuki na Cuba - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


10 Feb 2016

Matukio /Afya : Mhe. Ummy Mwalimu Akutana na kufanya mazungumzo na balozi wa Uturuki na Cuba

IMG-20160209-WA0010

Balozi wa Cuba nchini, Copez Tomo, akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

IMG-20160209-WA0011

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu akirekodi mambo muhimu kwenye 'diary' yake wakati wa mazungumzo na Balozi wa Cuba nchini, Copez Tomo aliyemtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

IMG-20160209-WA0012

Balozi wa Uturuki nchini, Bi. Yasemin Fralp akifurahi jambo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu alipomtembelea ofisini kwake na kufanya naye mazungumzo yenye lengo la kuboresha mahusiano baina ya Tanzania na Uturuki.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad