Michezo : Taswira mbali mbali ya Mapokezi ya Mchezaji Bora wa Afrika Mbwana Samatta, Jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Habari Mpya

Glory to Story.


Post Top Ad


10 Jan 2016

Michezo : Taswira mbali mbali ya Mapokezi ya Mchezaji Bora wa Afrika Mbwana Samatta, Jijini Dar

Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika wa Wachezaji wa Ndani 2015, Mbwana Samata akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam akitokea Abuja, Nigeria katika hafla ya utoaji tuzo kwa mwanamichezo bora. (Picha na Francis Dande) 
 Mchezaji Boara wa Afrika, Mbwana Samata akiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam akitokea Abuja, Nigeria. Kulia ni mzee Ali Samataakimlaki mtoto wake.
 Mbwana akiwapungia mkono mashabiki waliofika uwanja wa Ndege kumpokea.
 Mbwana Samata akiangalia tuzo yake.
 Mashabiki wa soka wakimpokea Mbwana Samata.
 Mbwana akifurahia tuzo yake.
 Mbwana akiwa amezongwa na mashabiki wa soka waliokuja kumpokea.
 Samata akiwa amepozi kwa picha.
 Waandishi wa habari wakifanya mahojiano.
 Maashabiki wa Mbwana Samata wakijaribu kuzuia gari alilopanda.
 Mashabiki waliokuja kumpokea wakicheza kwa furaha.
 Ngoma za kila aina zilikuwepo Uwanja wa Ndege wakati wa mapokezi ya Samata.
 Mzee Ali Samata akifurahia tuzo aliyopata mtoto wake.
 Umati wa watu waliojitokeza katika mapokezi ya Samata.
 Wadau
 Vikundi mbalimbali vikitumbuiza.
 Mzee Ali Samata akiwa na mkewe wakati wa mapokezi ya mtoto wao.
 Mzee Ali Samata akisalimia na Naibu Mkurugenzi Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Yasoda.
Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Kabwe akizungumza na waandishi wa habari wakati wa mapokezi ya Mchezji Bora wa Afrika, Mbwana Samata.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad