Mbunge
wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Mhe.Hamad Yussuf Masauni na Aliyekuwa Mwakilishi wa Rahaleo kwa sasa ni
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni Mhe Nassor Salim Jazira wakiteta
jambo wakati wa ziara ya Mbunge Mhe Masauni kutembelea Mradi wa Maji
kaburikikombe Zanzibar.
Mbunge
wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Hamad Masauni akiwa katika ziara yake
kutembelea mradi wa kisima cha maji kaburukikombe migimbani Zanzibar.
Katibu
Mtendaji wa Jumuiya ya Tanzania Youth Icon Abdalla Ahmeid akizungumza
kuhusiara na mradi mkubwa wa Kisima cha Maji kilichofadhiliwa na TAYI
kwa Wananchi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar wakati wa ziara ya Mhe
Mbunge Hamad Masauni katika jimbo hilo.
Mbunge
wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe
Hamad Yussuf Masauni akizungumza na Wananchi wa Jimbo hilo wakati wa
ziara yake katika mradi wa maji kaburi kikombe migombani Zanzibar Mradi
huo unasimamiwa na Jumuiya ya TAYI Tanzania Youth Icon kulia aliyekuwa
mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo na kwa sasa anagombea Jimbo la Kikwajuni
Zanzibar Mhe Nassor Salim Jazira.
Mgombea
Uwakilishi Jimbo la Jangombe Abdalla Diwani akimsikiliza Mhe Mbenge
wakati wa ziara yake katika kisima cha maji kaburi kikombe migombani
Zanzibar.
Wananchi
wa Jimbo la Kikwajuni akiangalia mradi wa kisima kipya kinachosimamiwa
na TAYI kinachochimbwa katika eneo la Kaburi Kikombe Zanzibarb hicho
kitakuwa kisima cha Pili kuchimbwa na TAYI kwa Wananchi wa Jimbo la
Kikwajuni kikiwa na urefu wa mita 42 kinachotarajiwa kukamilika kwake
kutumia shilingi milioni 20 hadi kukamilika kwake.
Wananchi
wa Jimbo la Kikwajuni akiangalia mradi wa kisima kipya kinachosimamiwa
na TAYI kinachochimbwa katika eneo la Kaburi Kikombe Zanzibarb hicho
kitakuwa kisima cha Pili kuchimbwa na TAYI kwa Wananchi wa Jimbo la
Kikwajuni kikiwa na urefu wa mita 42 kinachotarajiwa kukamilika kwake
kutumia shilingi milioni 20 hadi kukamilika kwake.
Katibu
Mtendaji wa Jumuiya ya TAYI Abdalla Ahmeid akitowa maelezo ya mradi huo
wa Pili wa Uchimbaji wa Kisima cha Maji kwa ajili ya Wananchi wa Jimbo
la Kikwajuni na jirani zake kikiwa katika hatu ya mwisho ya uchimbaji
wake.
Katibu
Mtendaji wa TAYI Abdalla Ahmeid akitowa maelezo ya uchimbaji wa kisima
hicho kwa waandishi wa habari wakati wa ziara ya Mhe Mbunge Hamad
Masauni.
Afisa
Rasilimali Maji wa Mamlaka ta Maji Zanzibar ZAWA Hassan Zaharan Said,
akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mradi huo wa kisima cha
maji, wakati wa ziara ya Mhe Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar.
Afisa
Rasilimali Maji wa Mamlaka ta Maji Zanzibar ZAWA Hassan Zaharan Said,
akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mradi huo wa kisima cha
maji, wakati wa ziara ya Mhe Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar
Aliyekuwa
Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni na Mgombea Uwakilishi Jimbo la
Kikwajuni Mhe Nassor Salim Jazira akizungumza wakati wa mkutano huo wa
Mhe Mbunge wa Kikwajuni Zanzibar uliofanyika katika Kituo cha Jumuiya ya
TAYI muembemadema Zanzibar.
Mbunge
wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe
Hamad Yussuf Masauni na Mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Jangombe Abdalla
Diwani wakimsikiliza mgombea Uwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni ambaye
alikuwa Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Mhe Nassor Salim Jazira
akizungumza wakati wa mkutano huo wa maadhimisho ya ziara ya Mbunge wa
Kikwajuni.
Mgombea
Uwakilishi wa Jimbo la Jangombe Abdalla Diwani akizungumza wakati wa
mkutano huo wa Mhe Masauni katika ukumbi wa Jumuiya ya TAYI muembemadema
Zanzibar wakati wa kakamilisha ziara ya Mbunge wa Kikwajuni Zanzibar.
Mbunge
wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe
Hamad Yussuf Masauni, akizungumza na Wananchi wa Jimbo lake katika
ukumbi wa Chuo cha TAYI muembemadema baada ya kumaliza ziara yake ya
siku moja kutembelea miradi ya Jimbo la Kikwajuni Zanzibar.
Viongozi
wa Jimbo la Kikwajuni wakimsikilia Mbunge wao wakati wa ziara yake ya
kutembelea Miradi ya Maji na Kituo cha Vijana cha Tanzania Youth Icon
muembemadema kinachotowa elimu ya Ujasiriamali kwa Vijana mbalimbali wa
Jimbo la Kikwajuni na jirani zao.
Wananchi wa Jimbo la Kikwajuni wakimsikiliza Mbunge wao wakati akizungumza nao baada ya ziara yake katika jimbo hilo.
Vijana
wa Jimbo la jangombe wa uhamasishaji wakiwa katika ukumbi wa TAYI
Miembeni wakimsikiliza Mhe, Masauni.akizungumza na Wananchi wa Jimbo
lake baada ya ziara yake kutembelea Miradi ilioko katika Jimbo hlake
inayosimamiwa na TAYI.
Mgombea
Udiwani wa Wadi ya Miembeni Mbarouk Abdalla Hanga akizungumza wakati wa
mkutano huo wa Mhe Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni Mhe Hamad Masauni baada
ya kumaliza ziara yake kutembelea miradi ya Maji ya Jimbo la Kikwajuni
Zanzibar.
Wananchi
wa Jimbo la Kikwajuni wakisoma dua baada ya kumaliza ziara ya Mhe
Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Mhe Eng.Hamad Yussuf Msauni wakiwa katika Kituo cha Vijana cha TAYI
Muembemadema.
Imetayarishwa na OthmanMapara.Blogspot.com
Zanzinews.com.
No comments:
Post a Comment