

Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura akipewa
maelekezo na Naibu Mkurugenzi wa maswala ya utangazaji wa Televisheni wa
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, Frederick Ntobi mara baada ya
kutembelea chumba cha maswala ya mawasiliano hasa ya Televisheni jijini Dar es Salaam.

Naibu
Mkurugenzi wa maswala ya Posta wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania,
Haruni Lemanya akizungumza na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na
Michezo, Annastazia Wambura pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) jijini Dar es Salaa mara baada ya
Naibu waziri kutembelea katika ofisi ya Maswala ya Posta katika Mamlaka
ya Mawasiliano Tanzania.



Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura
akizungumza na wafanyakazi pamoja na wakurugenzi wa Mamlaka ya
Mawasiliano Tanzania jijini Dar es Salaam.

No comments:
Post a Comment