Matukio :Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Akutana na Mabalozi wa China, Korea na Sudan - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Tuesday, 1 December 2015

demo-image

Matukio :Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Akutana na Mabalozi wa China, Korea na Sudan

IMGS3507
 Waziri Mkuu, Majliwa Kassim Majaliwa akisalimiana na balozi wa China Nchini Dkt. Lu Youqing kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es slaam  Disemba 1, 2015. IMGS3526
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akizungumza na Balozi wa Sudan nchini, Dkt.Yassir  Mohamed Ali Ofisini kwake jijini Dar es salaam Disemba 1, 2015.
IMGS3536
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa   akisalimiana na balozi wa Sudan nchini,Dkt. Yassir Mohamed Ali kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Disemba 1, 2015.
IMGS3546
 Waziri Mkuu,Majaliwa Kassim Majliwa akizungumza na balozi wa Korea nchini Mhe. Chung Il ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Disemba 1, 2015 kuaga.
IMGS3550
 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya kinyago balozi wa Korea nchini, Mhe. Chung Il ambaye alikwenda Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaam Desemba 1, 2015 kuaga.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment

Contact Form

Name

Email *

Message *

Tuwasiliane

Name

Email *

Message *