
Balozi
wa Hispania hapa nchini, H.E Felix Costaldes akizungumza wakati wa
uzinduzi wa Spanish Culinary week ambayo imezinduliwa Ijumaa usiku
katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Habari Beach jijini Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki.

Balozi wa Hispania hapa nchini, H.E Felix Costaldes akikata keki kuashiria uzinduzi wa Spanish Culinary week iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa hoteli ya Bahari Beach jijini Dar es Salaam.

Watumbuizaji wakitumbuiza katika hafla ya uzinduzi wa Spanish Culinary week jijini Dar es Salaam.


Baadhi ya washiriki wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuzindua Spanish Culinary week jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment