Mafuta :Droo ya kwanza ya Jaza Mafuta na Ushinde kutoka Gapco yachezeshwa jijini Dar - Wazalendo 25 Blog

Glory to Story.

Habari Mpya

PRINTING / GRAPHICS / DESIGN : 0784 643 633

Saturday, 5 December 2015

Mafuta :Droo ya kwanza ya Jaza Mafuta na Ushinde kutoka Gapco yachezeshwa jijini Dar


Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya GAPCO Tanzania, Vijay Nair (katikati) akibonyeza kitufe kwenye Kompyuta kuwatafuta washindi wa promosheni ya "Jaza Mafuta na Ushinde" inayowawezesha wateja wa mafuta katika vituo mbali mbali vya GAPCO jijini Dar es salaam kujipatia mafuta ya bure. Jumla ya Wateja 25 hupata bahati ya kuwekewa mafuta bure. Kushoto ni Mkaguzi wa Michezo ya kubahatisha nchini, Abdallah Hemedy na kulia ni Mejena Mradi wa GAPCO, Mohit Sharma.

No comments:

Post a Comment