Aliyekua mgombea Urais Tiketi ya UKAWA Mhe. Edward Lowassa akipita
mbele ya jeneza la Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa
Geita Ndugu Alphonse Mawazo.
Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe akipita mbele ya jeneza la
Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema wa Mkoa wa Geita Ndugu Alphonse
Mawazo.
Mke wa Marehemu Alphonse Mawazo na mtoto wake Precious Mawazo
wakimsikiliza Mchungaji aliyekuwa akiendesha misa ya kumuombea marehemu
Alphonse Mawazo
No comments:
Post a Comment